Recent-Post

HI ORODHA YA WACHEZAJI WA TP MAZEMBE WATAKAOCHEZA NA SIMBA,SEPTEMBA 19

ORODHA ya wachezaji 23 watakaotua Tanzania, Septemba 18 kwa ajili ya kumenyana na Simba, Uwanja wa Mkapa.

Ni wachezaji wa TP Mazembe miamba kutoka DR Congo ambapo watakuwa na mchezo na Simba Septemba 19.

Utakuwa mchezo wa kirafiki katika siku ya tamasha la Simba Day.


Post a Comment

0 Comments