DKT.MBWANA ATEULIWA MKURUGENZI MKUU TARI

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Thomas Nestory Bwana kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI).

Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Bwana alikuwa Mkurugenzi Msaidizi Mazingira (Biodiversity Conservation) Ofisi ya Makamu wa Rais, na anachukua nafasi ya Dkt. Geofrey Mkamilo ambaye amemaliza muda wake.

 
MAAZIMIO BUNGE KUHUSU VIWANJA:

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments