BAJETI YA YANGA SC NI TSH. BILIONI 33. 6 MSIMU WA 2025 - 2026

Klabu ya Yanga SC imeweka Bajeti ya kiasi cha fedha zaidi ya Shilingi Bilioni 33 kwenye msimu ujao wa mashindano wa 2025 - 2026.

Bajeti hiyo ni ongezeko la asilimia 32 tofauti na msimu uliopita wa 2024 - 2025, ambapo Bajeti ya klabu hiyo ilikuwa Shilingi Bilioni 25.6 wakati matumizi yakiwa Shilingi Bilioni 25.3 wakati kiasi kilichobaki ni zaidi ya Milioni 300.

Kwenye bajeti ya Tsh. 33.6 kiasi cha Tsh Bilioni 12 kiasi ambacho kinatakiwa ili kufika malengo kwenye bajeti hiyo ya timu kuelekea msimu huo wa 2025 - 2026.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments