BALOZI NCHIMBI AKIWASILI KATIKA JIMBO LA BIHARAMULO MAGHARIBI

 Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasili katika uwanja wa mpira CCM Majengo,katika jimbo la Biharamulo Magharibi mkoa wa Kagera,ambapo baadae atawatubia Wananchi waliofika kumsikiliza leo Jumamosi Septemba 6,2025 akitokea mkoa wa Kagera.


Dkt Nchimbi anaendelea na mikutano yake ya kampeni nchi nzima, kusaka kura za ushindi wa kishindo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasili katika uwanja wa mpira CCM Majengo,katika jimbo la Biharamulo Magharibi mkoa wa Kagera,ambapo baadae atawatubia Wananchi waliofika kumsikiliza leo Jumamosi Septemba 6,2025 akitokea mkoa wa Geita.

Dkt Nchimbi anaendelea na mikutano yake ya kampeni nchi nzima, kusaka kura za ushindi wa kishindo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).




TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments