Mapokezi ya Kihistoria Ikungi: Kenani Kihongosi Awasili kwa Kishindo Kikubwa

Maelfu ya wananchi wa Ikungi Mashariki katika eneo la Puma wakiwa wamekusanyika kwa wingi kwa ajili ya kumpokea, kusikiliza,kueleza kero na changamoto zao kwa Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM Kenani Kihongosi kabla ya kuzungumza nao katika mkutano mkubwa wa hadhara,ikiwa leo ni hitimisho la ziara yake ya siku tano Mkoani Singida.












TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560

Post a Comment

0 Comments