
Kauli Hiyo Imesema Na Mwenyekiti Wa CCM Mkoa Wa Singida Bi Martha Mlata Wakati Wa Ziara Ya Kmati Ya Siasa Mkoa Wa Singida Ya Ukaguzi Wa Utekelezaji Wa Ilani Ya CCM.
Bi Martha Mlata Ameele kuwa Ni Miaka 13 Sasa Imepita Bila Kuwa Na Muundelezo Wowote Wa Kituo Hicho Cha Afya Kilichopo Ngimu Ktika Halmashauli Ya Singida Dc Mkoani Mkoani Singida.
Kwa Nyakati Tofauti Wajumbe Na Viongozi Mbali Mbali Wa Kamati Ya Siasa Wameonyesha Masikitiko Makubwa BaadaYa Kufika Katika Eneo Hilo.
Kwa Upande Wa Mnec Bw. Yohana Msita Amempongeza Mwenyekiti Wa CCM Mkoa Wa Singida Kwa Kuamua Kwenda Kutembelea Mladi Huo ,Kwani Msita Ameeleza Kuwa Ni Mnec Kwa sasa Ni Mwaka Wa Sita alikuwa Hajawahi Kufika Katika Mladi Huo Hivyo Mwenyekiti Umefanya Kitu Kikubwa Sana, Asema Mseta.
0 Comments