MAKAMU WA RAIS AWASILI NCHINI KONGO KUMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa N’djili, Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo tarehe 14 Novemba 2025. Makamu wa anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Maziwa Makuu utaofanyiika Jijini Kinshasa tarehe 15 Novemba 2025.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akipokelewa na Waziri wa Biashara za Kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mhe. Julien Paluku Kahongya, wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa N’djili, uliyopo Jijini Kinshasa, leo tarehe 14 Novemba 2025. Makamu wa anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Maziwa Makuu utaofanyiika Jijini Kinshasa tarehe 15 Novemba 2025.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments