Ndameza Boarding Secondary Usajili wa Wanafunzi Wapya kwa Mwaka wa Masomo 2026 — Elimu Bora, Maadili na Mafanikio!”

 


🎓 TANGAZO KWA WAZAZI NA WALEZI 🎓
Uongozi wa Ndameza Boarding Secondary inapenda kuwakaribisha wazazi na walezi wote kuandikisha watoto wao kwa ajili ya mwaka wa masomo 2026

👉 Tunatoa elimu bora yenye maadili, mwongozo wa karibu kwa mwanafunzi, na mazingira salama yanayomjenga mtoto kitaaluma na kimaadili.
👉 Walimu wetu ni wenye uzoefu na kujituma, wakihakikisha kila mtoto anafikia ndoto zake.
👉 Shule ina mazingira rafiki ya kujifunzia, chakula bora, nidhamu, michezo na shughuli za ubunifu.

📅 Usajili unaendelea sasa!
📍 Tembelea shule yetu au wasiliana nasi kwa maelezo zaidi kupitia:
📞 Simu: 0769104401
📬 Anwani: Anwani ya shule P.O.BOX 634 KIGOMA

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments