MAJALIWA ASHIRIKI MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI MKOA WA LINDI

 Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tekinolojia ya Habari, Nape Nnauye wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Chuo cha Ualimu Nachingwea kushiriki katika Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CCM Mkoa wa Lindi, Novemba 20, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)







Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa , Kassim Majaliwa akiwapungia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Uchaguzi Mkoa wa Lindi wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu Nachingwea kushiriki katika mkutano huo, Februari 20, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Kassim Majaliwa akitoa salamu katika Mkutano Mkuu wa CCM wa Uchaguzi Mkoa wa Lindi kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu Nachingwea, November 20, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Washirki wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CCM Mkoa wa Lindi wakifuatilia matukio mbalimbali katika mkutano huo kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu Nachingwea, Novemba 20, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments