RAIS SAMIA AKUTANA NA MWAKILISHI MPYA WA BENKI YA DUNIA NCHINI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwakilishi mpya wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Malawi, Zambia na Zimbabwe Bw. Natham Belete mara baada ya kuwasili Ikulu ndogo Jijini Arusha tarehe, 25 Novemba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Mwakilishi mpya wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Malawi, Zambia na Zimbabwe Bw. Natham Belete pamoja na Ujumbe wake mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao Ikulu ndogo Jijini Arusha tarehe, 25 Novemba, 2022.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments