KAGERA SUGAR 0-1 YANGA

Yanga wanasepa na pointi tatu mbele ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Kaitaba. 

Dakika 90 zimekamilika,  Uwanja wa Kaitaba, zimeongezwa dakika 3

Dakika ya 88 anatoka Mayele anaingia Ninja

Dakika ya 87, Luhende anapiga kona inaokolewa na mabeki

Dakika ya 82 Mayele anakosa nafasi ya wazi  baada ya kipa Chalamanda kutoka kidogo katika lango lake

Dakika ya 77 Jesus anatoka anaingia Nchimbi,  anatoka Fei Toto anaingia Kaseke

Dakika ya 73 Mauya anapiga shuti linakwenda nje ya lango

Dakika ya 70 Chalamanda anapiga nje mpira uliokuea unaelekea katika lango lake na Yanga wanata kona inaokolewa 

Dakika ya 62, Yacouba anatoka anaingia Makambo

Dakika ya 60 Kagera Sugar wanapata kona inaokolewa na mabeki wa Yanga

Dakika ya 58 Luhende anafanya jaribio kwa pigo huru linaokolewa na Diarra 

Dakika ya 53 Yacouba anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 51 Yacouba anafanya jaribio linaokolewa inapigwa kona na Jesus kichwa cha Djuma kinaupeleka mpira nje ya lango

Dakika ya 50 Mwalyanzi anapeleka mashambulizi Yanga

Dakika ya 46 Zawad Mauya anaingia anatoka Farid Mussa

Kipindi cha pili

Mapumziko 

Zinaongezwa dakika 2

Dakika ya 45 Yacouba anafanya jaribio linaokolewa na Chalamanda 

Dakika ya 44 Aucho anachezewa faulo

Dakika ya 40 Chalamanda anapeleka mashambulizi Yanga

Dakika ya 37 Yanga wanapeleka mashambulizi Kagera Sugar 

Dakika ya 36 Fei Toto anapeleka majalo kwa Kagera Sugar 


Dakika ya 34 Aucho anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 31 Mayele anafanya jaribio linakwenda nje ya 18

Dakika ya 30 Jesus anapiga shuti linakwenda nje ya 18

Dakika ya 25 Yacouba anapiga shuti linakwenda nje kidogo ya lango

Dakika ya 24 Gooooool Fei Toto ndani ya 18 baada ya mabeki wa Kagera Sugar kujichanganya 

Dakika ya 22 Bangala anapiga kona inaokolewa

Dakika ya 18, Rajab Lwenge anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Djuma

Dakika ya 16,  Bangala anapiga kona inakutana na kichwa cha Aucho mpira unakwenda nje ya lango

Dakika ya 15 Yacouba anapiga shuti akiwa nje ya 18 linakwenda nje ya lango

Dakika ya 14 Diara anapeleka mashambulizi Kagera Sugar 



Dakika ya 12 Aucho anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 10 Yacouba anapiga shuti linakwenda nje ya lango kwa pasi ya Farid Mussa

Dakika ya 9, Bangala anapiga kona haileti matunda

Dakika ya 8 Fei Toto anafanya jaribio linakwenda nje ya lango 

Dakika ya 7 Diarra anaokoa hatari

Dakika ya 6 Mayele na Yusuph wanapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 5 Fei Toto kwa Kibwana Shomari, Fei anampa Yacouba mpira ukatoka

Dakika ya 4 Kagera Sugar wanaanua majalo ya Mayele

Dakika ya 3 Djuma Shaban anapeleka majalo Kagera Sugar 

Dakika ya 2 Aucho anapeleka kwa Fei Toto

UWANJA wa Kaitaba 

Mchezo wa Ligi Kuu Bara 

Kagera Sugar 0-0 Yanga


TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments