Aliyekuwa mchezaji wa Ruvu Shooting, Ally Mtoni “Sonso” (29) amepoteza Maisha katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa anapatiwa Matibabu leo Ijumaa, Februari 11, 2022.
Taarifa za awali zinasema kuwa, Sonso ambaye alikuwa beki wa kushoto alikuwa akiugua maradhi ya muda mrefu. Kwa nyakati tofauti, Sonso amezitumika timu za Lipuli FC, Yanga SC, Kagera Sugar, Polisi Tanzania. Pia amewahi kucheza timu ya Taifa
0 Comments