Michezo miwili imepigwa leo katika viwanja viwili mkoani singida katika dimba la Liti stadium zamani Namfua Kulikuwa na mchezi ambao ulizikutanisha Kititimo Fc dhidi ya Bufalo Fc amabapo Bufalo Fc walikubali kichapo cha Mabao 3 kwa Moja kutoka Kititimo Fc , Na katika Dimba la Bombandia zamani Peoples kulikuwa na mchezo amabao ulizikutanisha Songambele Fc Dhidi ya Nyuki Fc amabapo Songambele Kutoka Wilayani iramba walikubali kichapo cha mabao mawili kwa bila dhidi ya Nyuki Fc
Kikosi cha Kititimo fc
Tukutane Kesho Katika Dimba la Bombadia kuanzia saa kumi kamili alasili amabapo kutakuwa na mchezo amabao utawakutanisha Nem fc V/S Mtamaa Fc katika Dimba la Bombadia ,Kesho tutakuwa na mchezo mmoja tu.
Bandolamedia.co.tz
0 Comments