Recent-Post

MWENDELEZO WA LIGI DARAJA LA TATU MKOANI SINGIDA

Matokeo ya Michezo ya Jana 
Manyoni Fc   3-1 Arena Fc .Liti : Stadium
Galax Fc  0- 1Leylembwe Fc Bombandia Stadium
Ligi hiyo inaendelea leo katika viwanja viwili katika dimba la Liti(Namfua) kutwana mchezo utakao zikutanisha Kitimo Fc na Bufalo Fc na katika Dimba la Bombadia zamani Pioples kutakuwa na mchezo kati ya Songambele fc Kutoka Iramba na Nyuki Fc.
Usisahau kutembelea bandolamedia.co.tz kwa matokeo na habari kem kem za ndani na nje ya Nchi yani Kitaifa na Kimataifa.

 

Post a Comment

0 Comments