Recent-Post

NAOT YAWAFUNDA WAANDISHI WA HABARI MKOANI MOROGORO

 Mkaguzi Mkuu wa Nje Mkoa wa Morogoro (NAOT) CPA.Mwabwanga Andindilile Peter katika kikao kazi cha Waandishi wa habari mkoani Morogoro kuhusu utekelezaji wa shughuli za programu ya mapambano endelevu dhidi ya rushwa tanzania lengo kuwajengea uelewa na ujuzi waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari vinavyotumia mitandao ya kijamii (Online media and platforms) kuhusu Mamlaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG.Mratibu Msaidizi na ufuatiliaji na Tathimini Programu ya kujenga Uwezo Endelevu wa Kupambana na Rushwa Tanzania -BSAAT, Bw.Josiah Mathews akizungumza katika kikao kazi cha Waandishi wa habari mkoani Morogoro kuhusu utekelezaji wa shughuli za programu ya mapambano endelevu dhidi ya rushwa tanzania lengo kuwajengea uelewa na ujuzi waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari vinavyotumia mitandao ya kijamii (Online media and platforms) kuhusu Mamlaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG.Mkurugenzi wa Huduma za Sheria Bi.Eliesh Saidimu akiwasilisha Mada katika kikao kazi cha Waandishi wa habari mkoani Morogoro kuhusu utekelezaji wa shughuli za programu ya mapambano endelevu dhidi ya rushwa tanzania lengo kuwajengea uelewa na ujuzi waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari vinavyotumia mitandao ya kijamii (Online media and platforms) kuhusu Mamlaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG. Mwanasheria Mwandamizi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), Dkt.Frank Sina akizungumza katika kikao kazi cha Waandishi wa habari mkoani Morogoro kuhusu utekelezaji wa shughuli za programu ya mapambano endelevu dhidi ya rushwa tanzania lengo kuwajengea uelewa na ujuzi waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari vinavyotumia mitandao ya kijamii (Online media and platforms) kuhusu Mamlaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG.Mkurugenzi Mkuu wa Fullshangwe Blog Bw.John Bukuku akizungumza jambo katika kikao kazi cha Waandishi wa habari mkoani Morogoro kuhusu utekelezaji wa shughuli za programu ya mapambano endelevu dhidi ya rushwa tanzania lengo kuwajengea uelewa na ujuzi wandishi wa habari kutoka vyombo vya habari vinavyotumia mitandao ya kijamii (Online media and platforms) kuhusu Mamlaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG. Mwandishi wa habari wa mitandao ya kijamii Bw.Humprey Shao akizungumza jambo katika kikao kazi cha Waandishi wa habari mkoani Morogoro kuhusu utekelezaji wa shughuli za programu ya mapambano endelevu dhidi ya rushwa tanzania lengo kuwajengea uelewa na ujuzi wandishi wa habari kutoka vyombo vya habari vinavyotumia mitandao ya kijamii (Online media and platforms) kuhusu Mamlaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG. Waandishi wa habari wakifuatilia Mafunzo kuhusu utekelezaji wa shughuli za programu ya mapambano endelevu dhidi ya Rushwa Tanzania lengo kuwajengea uelewa na ujuzi waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari vinavyotumia mitandao ya kijamii (Online media and platforms) kuhusu Mamlaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG. 


Mkaguzi Mkuu wa Nje Mkoa wa Morogoro (NAOT) CPA.Mwabwanga Andindilile Peter akipata picha ya pamoja na baadhi ya waandishi wa habari katika kikao kazi cha Waandishi wa habari mkoani Morogoro kuhusu utekelezaji wa shughuli za programu ya mapambano endelevu dhidi ya Rushwa Tanzania lengo kuwajengea uelewa na ujuzi waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari vinavyotumia mitandao ya kijamii (Online media and platforms) kuhusu Mamlaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

Post a Comment

0 Comments