VIJANA WASHIRIKI MATEMBEZI MAALUM YA UVCCM PAMOJA NA KUSHIRIKI SHUGHULI MBALI MBALI ZA KIJAMII

Zikiwaonesha Vijana Wazalendo wanaoshiriki Matembezi Maalum ya UVCCM wakiendelea na Matembezi pamoja na kushiriki shughuli mbalimbali za Kijamii na Ujenzi wa Taifa.

Shughuli zote zinazofanywa na wanamatembezi hao ni kuunga mkono Juhudi zinazofanywa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa upande Tanzania Bara inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Visiwani Zanzibar inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt Hussein Ali Mwinyi.


KAULI MBIU:
"Miaka 60 ya Mapinduzi, Miundombinu bora ni msingi wa maendeleo"


Chanzo UVCCM TAIFA

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments