Picha Na Revocatus Phinias |
Wanakikundi wa kikundi cha Ten Grroup wakikabidhi zawadi kwa Mstahiki Meya wa Manispaa Bi, Yagi Kiaratu,Wakati wakifunga Mwaka Wa 2021
Bi Yagi Kiaratu Amewaasa Wanawake Kijitokeza Katika Kugombea Nafasi Mbali Mbali Kwenye Chama Na Serikali ili Wanawake Wengi Wawepo Katika Sehemu Ya Maumuzi Kwajili Ya Manufaa Ya Taifa Na Jamii Kwa Ujumla.
Bi Kiaratu Amesema Hayo Leo Wakati Wa Sherehe Za Kitimiza Mwaka Katika Kikundi Cha UJAMAA TEN GROUP
0 Comments