Kamati ya usalama wilaya ya Ikungi imeridhishwa na kazi ya ujenzi Wa vyumba vipya vya madarasa 130 kwa ajili ya shule za secondary Na shule shikizi za msingi.
Akizungumza mara baada ya kuhitimisha ziara ya Ukaguzi Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Bw. Jerry C. Muro amesema wameridhishwa na kazi ya ujenzi Kwa kuzingatia vigezo vya muda wa ujenzi, viwango vya ubora wa ujenzi na thamani ya fedha Iliyotumika.
Mkuu Wa Wilaya ya Ikungi Bw. Jerry Muro Amesema tayari baadhi ya vyumba Aimeshakamilika na wataanza kuvipokea kuanzia Wiki ijayo katika maeneo mbalimbali Yanayotekeleza miradi hiyo.
Mkuu Wa Wilaya ya Ikungi Bw. Jerry Muro Amesema tayari baadhi ya vyumba Aimeshakamilika na wataanza kuvipokea kuanzia Wiki ijayo katika maeneo mbalimbali Yanayotekeleza miradi hiyo.
0 Comments