Waziri Ummy Agizo alilolitoa kuwa wanafunzi wasizuiliwe kuanza masomo endapo hana sare ya shule lina lengo la kuondoa vikwanza vinavyoweza kupelekea mtoto kushindwa kuanza masomo yake kwa wakati.
Waziri Ummy ameyasema hayo wakati wa ziara yake kwenye Manispaa ya Singida kukagua utekelezaji wa shughuli za maendeleo zinazotekelezwa katika Halmashauri hiyo.
0 Comments