Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa leo Feb 07, 2022 limepokea barua ya kuvunja mkataba wa udhamini mwenza wa Ligi Kuu ya NBC kutoka GSM “Tunaifanyia kazi barua hiyo na tutatoa taarifa kwa Wadau wa mpira wa miguu kuhusu suala hilo"

0 Comments