![]() |
Meshy Pius Singolyo Mratibu Wa Sara Bank Mkoani Arusha |
Baada Ya Kusikiliza Video hii Utaendelea kuangalia Picha Mbali Mbali Zilizojili Katika Tukio Hilo

Wakina Mama Wa Jamii Ya Kifugaji Kutoka Wilaya Ya Logido
Wamegawana Faida Ya Ng`ombe 23 Na Kiasi Cha Fedha
Walizopata Kupitia Ufungaji Na Shughuli Za Vikoba Huku Shirika
La Maasai Sola Chini Ya Mkurugenzi Wake Bw.Kioko Moitiko
Amesema Shirika Kupitia Mradi Wake Sare Benk Ameahidi
Kuendelea Kuwawezesha Kwa Kuwapa Elimu Na Mitaji Ili
kuboresha Na Kuongeza Ufanisi Katika Kazi Zao.
0 Comments