Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akimuelekeza jambo Meneja wa TARURA Wilaya ya Kishapu Mhandisi Willfred Gutta wakati akiendelea kukagua ujenzi wa Daraja la Soka Ipeja-Itilima linalounganisha wilaya za Kishapu na Itilima wakati Katibu Mkuu wa Chama cha Maoinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo alipokagua ujenzi wa daraji hilo ambalo limekamilika likigharimu zaidi ya shilingi milioni 500
Muonekano wa daraja la mto Soka linalounganisha wilaya za Kishapu na Itilima mkoani Shinyanga.
Meneja wa TARURA Wilaya ya Kishapu Mhandisi Willfred Gutta akisoma Taarifa ya ujenzi wa Daraja la Soka Ipeja-Itilima linalounganisha wilaya za Kishapu na Itilima wakati Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo alipomaliza kukagua ujenzi wa daraja hilo leo Mei 30,2022,. Daraja hilo ambalo limejengwa kwa gharama ya shilingi milioni 486.4 ambapo fedha zilizokuwa zimetengwa hadi kukamilisha kwa ujenzi huo ni shilingi 500.Daraja tayari limekamilika.Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo akizungumza wakarlti mara baada ya kukagua ujenzi wa Daraja la mto Soka Ipaja -Itilima.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo akimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Kishapu Mh. Boniface Ntondo alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Jimbo lake mara baada ya ukaguzi wa daraja kufanyika.
Katibu Mkuu wa Chama cha Maoinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo akislimiana na Kada was CCM Ndugu Suleiman Nchambis wakati alipowasili kukagua ujenzi wa Daraja la mto Soka Ipaja -Itilima ambalo limekamilika likigharimu zaidi ya shilingi milioni 500.
0 Comments