Afisa Michezo Wa Mkoa Wa Singida Bw. Amani Mwaipaja Amesema kuwa Michezo Hiyo Itaendelea Tena Kesho Katika Viwanja Vya Mwenge na Kuwaomba Wadau Mbali Mbali Wa Michezo Kujitokeza Katika Viwanja Hivyo ilikujionea Vipaji vilivyo sheheni Mkoani Singida.
Kwa Upande Wa Chama Cha Mpira Wa Miguu Mkoa Wa Singida Bw. Hamisi Kitila Ambae Ni Mwenyekiti Wa Chama Hicho Ameeleza Kuwa Michezo Ya Sekondary (UMISETA)Ndio Kiwanda Kikubwa Kinachoweza Kuliwezesha Taifa kuendelea Kupata Wanamichezo Bora Na Kuunda Timu Zenye Ushindani Katika Taifa Letu.
Bw.Hamisi Kitila Amesema Kuwa Singida Kuna Vipaji Vingi Katika Michezo Mbali Mbali Na Leo Ameshuhudia Ushindani Mkubwa Katika Michezo Mbali Mbali Iliyoendelea Leo Katika Viwanja Vya Mwenge Sekondary ,Hivyo Amewaomba Wadau Mbali Mbali Wa Michezo Kujitokeza Katika Vinja Vya Mwenge Sekondary Ilikojionea Vipaji Vikubwa Vilioko Mkoani Singida.

Tukutane Kesho Hapa Hapa Na Kwa Kupitia Mitandao Yetu Tutakuletea Matoke Mbali Mbali Ya Michozo Hiyo Inayoendelea Katika Viwanja Vya Mwenge Secondary.
0 Comments