Mbunge Ole Shangai aachiwa kwa dhamana

Akizungumza baada ya kuachiwa Ole Shangai amesema kwa siku tatu tangu alipokamatwa aligoma kula na baada ya kujisalimisha Karatu alisafirishwa saa saba usiku Agosti 22 kurudishwa Arusha na alikuwa Kituo cha Diplomasia jijini Arusha.

Mbunge huyo alijisalimisha polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa kuhusika na tukio la kushambuliwa waandishi wa habari lililotokea Agosti 15, 2023.


Waandishi hao walishambuliwa na wananchi kwenye mkutano uliofanyika eneo la Enduleni wilayani Ngorongoro.


Waan

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments