TAARIFA iliyotolewa na AZAM TV ni kuwa beki wa Simba SC, Henock Inonga anaendelea vizuri.
Inonga ameumia katika mchezo wa leo dhidi ya Coastal Union baada ya kufanyiwa madhambi na Haji Ugano dakika ya 19 hali iliyopelekea kutolewa nje kwa kadi nyekundu.
Baada ya kufanyiwa madhambi, Inonga aliwahishwa Hospitali ya Wilaya ya Temeke kwa matibabu.
Nafasi ya Inonga ilikuchuliwa na Kennedy Juma.
0 Comments