Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Mabunge Duniani kwa Kundi la Afrika (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na kuzungumza jambo na Rais wa Uruguay Mhe. Luis Lacalle Pou wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa the 2nd World Summit of the Committees of the Future uliofanyika katika Ukumbi wa Bunge la nchi hiyo Jijini Montevideo leo tarehe 25 Septemba, 2023.
0 Comments