ALIYEKUWA mchezaji wa Manchester United, Wayne Rooney ameteuliwa na klabu ya Birmingham City kuwa kocha mkuu na kusaini mkataba wa miaka mitatu.
–
Rooney anachukua nafasi hiyo baada ya siku kadhaa zilizopita kuachana na DC United ya Marekani.
–
“Nimefurahi kuwa hapa. Ni wazi kabisa kwamba wana mpango. Ni mradi ambao unanipa hisia ya kusudi na siwezi kusubiri kuanza”.
0 Comments