HATUA ya 16 bora ya michuano ya Ligi ya Mabingwa imetoka mchana huu ambapo ratiba inaonesha kama ifuatavyo.
Mabingwa watetezi Manchester City, wamepagwa kucheza na Copenhagen.
Arsenal wataanza ugenini dhidi ya FC Porto, Bayern Munchen pia wataanza ugenini dhidi ya Lazio.
PSG wataanza Parc Des Princess dhidi ya Real Sociedad, Dortmund dhidi ya PSV.
Inter Milan dhidi ya Atletico
Madrid mechi itaanza San Siro, katika uwanja wa Diego Maradona Napoli itaanza na Barcelona.
Real Madrid itaanza ugenini dhidi ya RB Leipzig.
0 Comments