MANYARA: RAIS Samia Suluhu Hassan akimjulia hali, Christina Nyangole na mtoto wake Wina Joseph mwenye umri wa mwaka 1.8, ambao wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, leo Desemba 7, 2023. Christina na mtoto wake ni waathirika wa mafuriko yaliyotokea Katesh.(Picha na Ikulu).
0 Comments