Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia akizungumzia uwepo wa Kocha kutoka FIFA aliyeletwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mpira FIFA, Arsene Wenger
Wallece Karia ameyasema hayo leo tarehe 16/12/2023 wakati akiongoza Mkutano Mkuu wa 18 wa TFF unaofanyika mkoani Iringa nchini Tanzania .
Na hizi ni picha mbali mbali za Wajumbe wa Mkutano Mkuu TFF na waalikwa mbalimbali wakifuatilia Mkutano Mkuu wa 18 wa TFF
0 Comments