Hapo awali alihisishwa
kujiunga na klabu ya Singida Fountain gate ila kutokana na katazo la kusajili
kutoka FIFA sasa Winga huyo anakaribia kumalizana na Viongozi wa Ihefu.
Huenda kabla ya juma
hili kuisha akatambulishwa.

0 Comments