Siku chache zilizopita
wamiliki wa klabu hiyo walitangaza kukaribisha wadau mbalimbali kukaribishwa
kuongeza nguvu kwenye timu hiyo.
#MICHEZO: Inaripotiwa kuwa klabu tayari imepata mdau ambaye ameweka mzigo wa kuinunua timu hiyo na mipango ya mdau huyo ni kuihamishia timu mkoani Arusha kwa muda(Tayari Ihefu wapo jijini Arusha).Soma Zaidi Hapa - https://t.co/YmobK1Xlfv pic.twitter.com/i4O2iHC0UA
— Bandola Media (@bandolamediatz) January 15, 2024
Inaripotiwa kuwa klabu
tayari imepata mdau ambaye ameweka mzigo wa kuinunua timu hiyo na mipango ya
mdau huyo ni kuihamishia timu mkoani Arusha kwa muda(Tayari Ihefu wapo jijini
Arusha).
Mdau huyo tayari pia
ameanza kushusha vyuma vya maana ambavyo mambo yakikaa sawa watawatangaza.
Mbali na habari njema ya klabu kumpata mdau pia inaelezwa kuwa Ihefu Fc wataachana na wachezaji wake wa kigeni ili kupisha usajili wa wachezaji wapya wa Kigeni.
0 Comments