Mshambuliaji huyo raia
wa kimataifa wa Norway anazungumzwa kama moja ya mshambuliaji hatari kwasasa
katika ulimwengu wa soka, Hii inatokana na ubora ambao amekua akiuonesha katika
kupachika mabao.
Pia kumbuka kuna
kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia
Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi
mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
utakua ni mchezo wa pili kukutanisha vilabu hivyo msimu huu baada ya kukutana
Tangu Haaland
atambulike kwenye ulimwengu wa soka kupitia klabu ya Rb Salzburg ya nchini
Austria na kuonesha umahiri wa kupachika mabao hajawahi kurudi chini na zaidi
amekua akipanda kila siku mpaka sasa ndani ya klabu ya Manchester City.
Mshambuliaji huyo
ameshafanikiwa kuionesha dunia yeye ni mshambuliaji wa aina gani kwani rekodi
alizoweka msimu uliomalizika inawezekana zitachukua muda mrefu kuvunjika, Kwani
alifanikiwa kufunga mabao 36 kwenye ligi kuu ya Uingereza jambo ambalo
halikuwahi kufanyika hapo kabla.
Raia huyo wa kimataifa
wa Norway licha kufanya balaa kubwa kunako ligi kuu ya Uingereza lakini
alifanikiwa kua mfungaji bora katika ligi ya mabingwa ulaya msimu ulionmalizika
kwa kufunga mabao 12 ambapo aliiwezesha timu yake kubeba taji hilo kama
alivyofanya katika ligi kuu ya Uingereza.
Wengi waliona
mshambuliaji huyo alikua anabahatisha kutokana na ambayo alikua anayaonesha
kunako Rb Salzburg, na Borussia Dortmund, Lakini kitu alichofanya katika ligi
kuu ya Uingereza ambayo inatambulika kama ligi ngumu zaidi ulimwenguni ndipo
watu waliponyoosha mikono juu ya uwezo wa Haaland.
Pia kumbuka kuna
kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia
Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee
ukibashiri kwa usahihi
mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia na uweke mkeka wako.
0 Comments