MAKAMU WA RAIS AKIWASILI NCHINI KUTOKA DAVOS

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam akitokea Davos nchini Uswisi ambapo alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF). Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo. Tarehe 20 Januari 2024.

#VIDEO: Wananchi Mkoani Singida Wametakiwa Kuendelea Kutoa Taarifa Kwa Jeshi La Polisi

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments