MAKONDA AMEWEZA KUAMSHA MIZIZI ILIYOKUWA IMELALA NA HAMASA NDANI YA CCM IMEONGEZEKA- SUMAYE

Tangu umeingia wewe katika nafasi ya Uenezi ya CCM Taifa hakika umeweka hamasa kubwa katika chama chetu, umeamsha mizi ambayo ilikuwa imelala na sasa imemka na kuchangamka, kazi inafanyika na umeiweza kwelikweli hakika unastahili pongezi “ - Sumaye

#VIDEO: Wananchi Mkoani Singida Wametakiwa Kuendelea Kutoa Taarifa Kwa Jeshi La Polisi

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments