MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM YA TAIFA - ZANZIBAR

                                  

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Mapema Leo Tarehe 15 Januari 2024, Visiwani Zanzibar.







TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments