#HABARI: Rais Dkt.Samia atengua, afanya uteuzi DART na TANAPA.#BandolaMediaUpdates pic.twitter.com/GbKCnJwlrH
— Bandola Media (@bandolamediatz) January 11, 2024
Dkt.Kihamia anachukua
nafasi ya Dkt. Edwin P. Mhede ambaye uteuzi wake umetenguliwa na atapangiwa
kazi nyingine.
Wakati huo huo, Mheshimiwa Rais Dkt.Samia amemteua Musa Kuji kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Kuji alikuwa akikaimu nafasi hiyo.
0 Comments