“Nchi ambayo itakuwa imefanya maandalizi
mazuri na kufurahia bahati waliyokuwa nayo, basi inaweza kwenda hadi kutwaa
ubingwa,” alisema mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32
“Uzoefu ni moja ya vitu muhimu. Mimi na
wenzangu wengine waliopo katika timu ya taifa ya Algeria tunajua maana ya Kombe
la Mataifa ya Afrika.
👉🏾Wild Spin ni mchezo wa sloti wenye nguzo tano zilizopangwa katika mistari mitatu na mistari 25 ya kudumu. Ili kupata ushindi wowote, unahitaji kuunganisha alama tatu au zaidi zenye kufanana kwenye mstari.
— Bandola Media (@bandolamediatz) January 11, 2024
-
Usikose hii, 🌍 Jisajili Hapa - https://t.co/FogydFvkho pic.twitter.com/WR03gPyJ5t
“Kuanza vizuri ni silaha kubwa na muhimu.
Tuliwafunga Kenya katika mchezo wetu wa ufunguzi wa Fainali za mwaka 2019 na
tulishinda taji la mashindano hayo. Tulitoka sare dhidi ya Sierra Leone miaka
mitatu baadae, lakini baadae tulichemsha”
Mahrez, ambaye ni mzaliwa wa Ufaransa,
ambaye aliondoka katika Ligi Kuu ya England na kutua katika Ligi Kuu ya Saudia
mwaka jana, alikuwa mhezaji wa kutumainiwa katika kikosi cha Algeria nchini
Misri mwaka 2019.
Pia alikuwa sehemu ya kikosi kilichofanya
vibaya wakati kikitetea taji lake nchini Cameroon miaka miwili iliyopita wakati
kilipofungwa na Guinea ya Ikweta na Ivory Coast na kuifanya kutolewa katika
hatua ya makundi.
Algeria yenye kikosi kilichochanganyika na
wachezaji walioshiriki Fainali za mwaka 2019 na damu mpya, ni miongoni mwa timu
zinazopewa nafasi ya kutwaa taji hilo katika Kundi D katika Fainali za mwaka
huu ambazo zinaanza keshokutwa Jumamosi (Januari 13)
Katika Kundi lao wako na Burkina Faso
pamoja na timu zilizowahi kumaliza katika nafasi ya pili, tatu na nne katika
mashindano manne yaliyopita.
#MICHEZO: Zaidi ya shilingi bilioni 3.7 zimechangwa ikiwa ni fedha taslimu na ahadi katika hafla ya kuzichangia timu za Taifa za Tanzania ambapo kati ya hizo Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amechangia shilingi milioni 500.#BandolaMediaUpdates pic.twitter.com/TRhZTyBj5V
— Bandola Media (@bandolamediatz) January 11, 2024
Timu mbili za juu katika msimamo wa kundi
moja kwa moja zitakuwa zimefuzu kucheza hatua ya 16 bora na itashtua kama
Algeria na Burkina Faso zitashindwa kujaza nafasi hizo mbili.
Kipa Rais MBolhi, mabeki Rarny Bensebaini na Aissa Mandi, viungo Ismael Bennacer na Sofiane Feghouli na washambuliaji Youcef Belailina Bounedjah ni wachezaji wengine waliokuwepo wakati timu hiyo ikitwaa taji mwaka 2019
0 Comments