Ugawaji wa vifaa
kwajili ya maandalizi ya ligi soka
wanawake mkoa wa Singida kwa timu shiriki msimu wa 2023-2024 katika ofisi za chama cha mpira wa miguu mkoa wa Singida leo saa kumi jioni
CUgawaji wa vifaa kwajili ya maandalizi ya ligi soka wanawake mkoa wa Singida kwa timu shiriki msimu wa 2023-2024 katika ofisi za chama cha mpira wa miguu mkoa wa Singida https://t.co/zov7nNWMNy pic.twitter.com/ekFwVSq3i0
— Bandola Media (@bandolamediatz) January 29, 2024
Katika Ugawaji wa vifaa hivyo Mgeni rasmi ni Meya wa Singida Manispaa na mwenyekiti wa soka la Wanawake mkoa wa Singida .Bi Yagi Kiaratu.
Na Baada ya kugawa vifaa leo, Na kuchezesha droo kwajaili ya upangaji wa ratiba ya ligi ya mkoa kwa soka la wanawake mkoa wa Singida
TAZAMA MAKUNDI LIGI YA WANAWAKE SINGIDA
#MICHEZO: MAKUNDI LIGI YA WANAWAKE - SINGIDA pic.twitter.com/eztdiK5oZy
— Bandola Media (@bandolamediatz) January 29, 2024
0 Comments