#VIDEO: Mkuu wa Mkoa wa Singida apiga Marufuku

Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba amepiga Marufuku Maafisa Ugani na Elimu Kata wa Wilaya ya Iramba na Mkalama, kuhusishwa kwenye shughulisha za Ukusanyaji wa Ushiru wa Halmashauri hizo, na badala yake wafanye kazi zao walizopangiwa na Serikali

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments