#VIDEO: TUNAPIGA KWENYE MSHONO MAKONDA AWASILI NA BAISKELI VIWANJA VYA TABORA MJINI

Msafara wa Katibu NEC ,Itikadi , Siasa ,Uenezi na mafunzo Ndg Paul Christian Makonda ,umewasili kwa aina yake eneo hilo huku CDE Makonda akitumia usafiri wa Baiskeli kuingia.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments