BAADA ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa FC, Simba imeendelea kuisogelea Yanga kwa kubakisha pointi tano kufikia.
Bao pekee lililofungwa na Saido Ntibazonkiza kwa penalti limeifanya Simba kuwa na pointi 26 huku mpinzani wake Yanga akiwa na pointi 31.
Yanga ipo mbele kwa mchezo mmoja dhidi ya Simba endapo itashinda itafikisha pointi 29.
Azam FC inaongoza Ligi ikiwa na pointi 31 sawa na Yanga tofauti ikiwa ni magoli a kufunga na kufungwa.
0 Comments