Fifa kuleta kadi ya bluu

IMERIPOTIWA Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) lipo katika mchakato wa majadiliano na waamuzi ya kuanzisha sheria ya uwepo wa kadi ya bluu.

Kwa mujibu wa mtandao wa OneFootball kadi hiyo itatumika kuonesha wachezaji wanapinga maamuzi ya waamuzi, kejeli na mengineyo.

Endapo mchezaji ataoneshwa kadi ya bluu, atatolewa uwanjani kwa dakika 10 nq baadaye kurejea tena.

Kwasasa kadi zinazotumika ni mbili, njano kuonya wachezaji wanapofanya madhambi, lugha chafu, au kupinga maamuzi na mengineyo, nyekundu kuondolewa uwanjani

                                https://a.meridianbet.co.tz/c/ PUhDWt

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments