MLATA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM MKOA SINGIDA.

                                       

Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Singida kinaketi hapa, baada ya Kamati ya Siasa Mkoa wa Singida kufanya ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Mkoa huo kupitia ilani CCM kufanya majumuisho ya ziara hiyo.

Nahizi Nipicha mbalimbali Katika Kikao Hicho
Na Abdul Ramadhani .SINGIDA

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments