PAZIA LA LIGI YA MPIRA WA MIGUU WANAWAKE MKOA WA SINGIDA 2023/2024 LIMEFUNGULIWA RASMI TAR 04/02/2024 KWA MCHEZO KATI YA SINGIDA RISING STAR VS MUFUMBU PRINCES. LIGI ITAANZA RASMI TAR 09/02/2024 MPAKA TAR 23/03/2024 IKIWA NA JUMLA YA MICHEZO 28 NA ITAFANYIKA KATIKA UWANJA WA MWENGE SEKONDARI. KARIBUNI SANA
MATOKEO YA MCHEZO WA LEO
SINGIDA RISING STARS 10 - 0 MUFUMBU PRINCESS
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI
Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516
0 Comments