RAIS SAMIA ATANGAZA SIKU 7 KUOMBOLEZA KIFO CHA ALI HASSAN MWINYI

 Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza siku saba za maombolezo kuanzia kesho kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia leo katika hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya Saratani ya mapafu


TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments