Tanesco yafafanua kukatika kwa umeme

SHIRIKA la Umeme (TANESCO) limesema kukatika kwa umeme katika baadhi ya maeneo jioni ya leo kumesababishwa na hitilafu katika Gridi ya Taifa.

Taarifa iliyotolewa jioni hii na Kurugenzi ya Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma TANESCO imeeleza kuwa juhudi za kurejesha huduma hiyo katika maeneo yaliyoarithika zinaendea.

Shirika hilo limewataka wateja wake kuendelea kuwa watulivu wakati jitihada zikiendelea.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments