Arteta kocha bora Februari

KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amechaguliwa kuwa meneja bora wa Mwezi Februari 2024 wa Ligi Kuu nchini England akishinda kwa mara ya saba.

Arsenal ya Arteta ndiyo timu pekee ya Ligi Kuu iliyopata rekodi ya kushinda kwa asilimia 100 mwezi Februari, ikiwashinda vinara Liverpool, West Ham United, Burnley na Newcastle United.

The Gunners pia walikuwa na safu ya ushambuliaji bora zaidi, wakifunga mabao 18

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments