Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri akizungumza na watumishi wa Wizara ya Maji, katika kikao kilichofanyika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Mhandisi Mwajuma ametumia kikao hicho kuwataka watumishi kujitoa kwa upendo katika kazi na kutumia weledi ili kufanikisha huduma ya maji kwa jamii.
0 Comments