Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza jambo wakati wa mkutano wake na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb), ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya kuendeleza sekta ya viwanda na Biashara, uwekezaji, na masuala ya kodi. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Waziri wa Fedha, jijini Dodoma na kuhudhuriwa pia na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya na wataalamu waandamizi kutoka Wizara hizo.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akizungumza wakati wa mkutano na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb), ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya kuendeleza sekta ya viwanda na Biashara, uwekezaji, na masuala ya kodi. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Waziri wa Fedha, jijini Dodoma na kuhudhuriwa pia na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya na wataalamu waandamizi kutoka Wizara hizo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb), akizungumza wakati wa mkutano na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya kuendeleza sekta ya viwanda na Biashara, uwekezaji, na masuala ya kodi. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Waziri wa Fedha, jijini Dodoma na kuhudhuriwa pia na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya na wataalamu waandamizi kutoka Wizara hizo.
Mkutano wa Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb), ukiendelea ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya kuendeleza sekta ya viwanda na Biashara, uwekezaji, na masuala ya kodi. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Waziri wa Fedha, jijini Dodoma na kuhudhuriwa pia na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya na wataalamu waandamizi kutoka W
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akizungumza jambo wakati wa Mkutano wa Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb) (hawapo pichani), ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya kuendeleza sekta ya viwanda na Biashara, uwekezaji, na masuala ya kodi. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Waziri wa Fedha, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (wa kwanza kushoto), Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba (wa pili kushoto), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya (wa tatu kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) Bw. Gilead Teri (katikati), Mkurugenzi wa Idara ya Sheria Wizara ya Fedha, Bw. Elias Kimati, Makamishna wasaidizi wa Idara ya Sera Wizara ya Fedha, Bw. Mbayani Saruni na Bw. Justin Mlewa, wakifuatilia Mkutano wa Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb) (hawapo pichani), ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya kuendeleza sekta ya viwanda na Biashara, uwekezaji, na masuala ya kodi. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Waziri wa Fedha, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kushoto), akiteta jambo na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, mara baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb) (hawapo pichani), ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuendeleza sekta ya viwanda na Biashara, uwekezaji, na masuala ya kodi. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Waziri wa Fedha, jijini Dodoma.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma)
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma)
0 Comments